

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini
























Mmoja
ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya
majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la
usafiri katika jiji la Dar es Salaam.









