Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimina na Joe Ricketts Kiongozi wa ‘Foundation for Benefactor
Opportunity Education’, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Februari 7, 2014 kwa mazungumzo. Kulia ni
Martin Russell Kiongozi wa Taasisi hiyo nchini Tanzania. Ujumbe huo
una lengo la kusaidia Tanzania kuboresha mfumo wa utoaji elimu kwa
matumizi ya ‘Tablet’. Picha na OMR

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib BIlal,
akizungumza na ujumbe wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity
Education’, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Feb 7, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR

Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, pamoja na ujumbe wa ‘Foundation for
Benefactor Opportunity Education’, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini
Dar es Salaam. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment