Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limelazimika kutumia silaha na mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa kijiji cha Mangae kata ya Doma wilaya ya Mvomero baada ya kufunga barabara kuu ya Morogoro - Iringa na kusababisha abiria wanaotumia barabara hiyo kukwama kwa zaidi ya saa sita.
MABOMU
ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero
mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro
wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha
mgogoro uliopo baina yao na wafugaji.
0 comments:
Post a Comment