Mhariri
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda akiongea
na waandishi baada ya kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu mkazi
Kisutu.
Meneja
Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL),
Theophil Makunga akiongea na wanahabari baada ya kushinda kesi Mahakama
ya Hakimu mkazi Kisutu.
Wakili wa washitakiwa, Nyaloni Mwita akiongea na waandishi wa habari nje ya mahakama.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd,Tido Mhandoa kiongea na waandishi wa habari baada ya hukumu.Picha Zote na Global publishers
--
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Meneja
Uendelezaji Biashara wa Mwananchi Communications (MCL), Theophil
Makunga, aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima,
Absalom Kibanda na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha,
Samson Mwigamba.
Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Waliarwande Lema
amesema upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha kuwa makala
iliyoandikwa na Mwigamba na kuchapishwa Tanzania Daima ilikuwa ya
uchochezi, habari kamili na undani zaidi baadae
0 comments:
Post a Comment