Waziri
Mkuu wa Finland,Jyrki Katainen akizungumza wakati wa Mkutano uliokuwa
ukijadili maendeleo endelevu ya Taasisi za uongozi wa Afrika
ulioandaliwa na Uongozi Institute,uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu wa Finland,Mh. Jyrki Katainen akisisitiza jambo wakati wa Mkutano
uliokuwa ukijadili maendeleo endelevu ya Taasisi za Uongozi Afrika
ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi,uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mtendaji
Mkuu wa Taasisi ya Uongozi,Prof. Joseph Semboja.
Waziri
Mkuu wa Finland,Mh. Jyrki Katainen (kushoto) akiendeleo kutoa hotuba
yake mbele ya wageni mbali mbali waliohudhulia Mkutano huo uliokuwa
ukijadili maendeleo endelevu ya Taasisi za Uongozi Afrika ulioandaliwa
na Taasisi ya Uongozi,uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya
Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu wa Finland,Mh. Jyrki Katainen akisisitiza jambo wakati wa Mkutano
uliokuwa ukijadili maendeleo endelevu ya Taasisi za Uongozi Afrika
ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi,uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mtendaji
Mkuu wa Taasisi ya Uongozi,Prof. Joseph Semboja.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais,asie na Wizara Maalum,Mh. Prof. Mark Mwandosya
akitoa hotuba yake mbele ya wageni mbali mbali waliohudhulia Mkutano huo
(hawapo pichani) uliokuwa ukijadili maendeleo endelevu ya Taasisi za
Uongozi Afrika ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi,uliofanyika kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam
leo.Kulia ni Waziri Mkuu wa Finland,Mh. Jyrki Katainen na Katikati ni
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi,Prof. Joseph Semboja.
Muanzilishi
na Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mandela na Maendeleo ya Masomo
nchini Afrika Kusini,Dkt. Nkosana Moyo akizungumza wakati akiwasilisha
mada yake kwenye Mkutano uliokuwa ukijadili maendeleo endelevu ya
Taasisi za Uongozi Afrika ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi,uliofanyika
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es
Salaam leo.
Wageni
mbali mbali wakimsikiliza Muanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi
ya Mandela na Maendeleo ya Masomo nchini Afrika Kusini,Dkt. Nkosana
Moyo.
Wadau mbali mbali wakiwemo Mawaziri Mabalozi na wengine wengi wakifatilia mkutano huo.
Waziri
Mkuu wa Finland,Mh. Jyrki Katainen (kushoto) akionyeshana kitu kwenye
simu na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,asie na Wizara Maalum,Mh. Prof.
Mark Mwandosya.
Wageni
NA ANKAL MICHUZI
0 comments:
Post a Comment