Mgeni
rasmi katika kipute hicho alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi na hapa
akisalimiana na wachezaji kabla ya mtanange kuanza katika uwanja wa
Kaitaba.
Mkuu
wa Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera, Kanali Mstaafu Issa Njiku (kulia)
akisalimiana na mchezaji wa Mtibwa Sugar ambaye pia ndie aliyekuwa Mgeni
rasmi kwenye mtanange huo ambao timu zote zimamaliza dakika 90 kwa sare
ya kutofungana na kugawana pointi moja moja.
Timu
zote mbili zikimsikiliza Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Misenyi mkoani
Kagera, Kanali Mstaafu Issa Njiku, kabla ya mtanange kuanza.
Kikosi cha Kagera Sugar kilichoanza leo na Mtibwa Sugar
Waamuzi wa Matanange huo
Tayari kwa Kabumbu kuanza...
Muda...Tukalianzishe kati sasa!
Mchezaji wa Mtibwa Sugar akiendeleza mashambulizi kuelekea kwenye lango la Kagera Sugar.
Hapa hukatizi ndugu..
<
Kona ilipigwa kelekea kwenye lango la Mtibwa Sugar...wakiugombania mpira!
Kipindi cha kwanza timu zote zilienda mapumziko bila kufungana!
Chupu chupu Mtibwa Sugar wafungwe! Kipa aliupangulia mpira huo nje
Mpira ni Furaha ....hapa ni kipa wa Mtibwa Sugar akimkumbatia kiongozi wa Kagera Sugar Bw. Mohamed Hussein
Mohamed Hussein(kulia) akiteta na viongozi wa Mtibwa Sugar
0 comments:
Post a Comment