Karibu sana blog yako ya jamii kwa Habari mbalimbali za Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Burudani na Michezo zote utazipata hapa. Blog hii ilizaliwa rasmi nchini India mnamo mwaka 2009 katika mji wa Hyderabad Eneo la Tolichowki na kwa hivi sasa maskani yake ni Nchini Tanzania Dar es salaam City.
Lengo la blog hii ni kuhabarishana masuala mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti yanayoendelea na kutokea Tanzania na Ulimwenguni kwa ujumla.
Lengo la blog hii ni kuhabarishana masuala mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti yanayoendelea na kutokea Tanzania na Ulimwenguni kwa ujumla.
Pia kushea na kubadilishana mawazo juu ya maisha halisi ya jamii yetu inayotuzunguka katika kulipeleka gurudumu la maendeleo ya Taifa letu mbele.