Mwenyekiti
wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanazania,Mh. Jaji Aloysius Mujulizi
(kushoto) akimpokea Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Dkt. Asha Rose Migiro
wakati alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za Tume hiyo na kukutana na
Watumishi wa Tume,jijini Dar es Salaam.Anaefuata nyuma ya Mh. Migiro ni
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Angela Kairubi.
Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Tawala wa Tume Bi. Suzan Magoti.
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akipokea Ripoti zilizofanyiwa
kazi na Tume kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akizungumza wakati wa kikao chake na uongozi wa Tume
Mwenyekiti wa Tume akizungumza wakati Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Asha Rose alipoitembelea Tume
Baadhi ya Watumishi wa Tume wakiwa katika kikao na Mhe Waziri wa Katiba na Sheria.Picha Zote na Munir Shemweta, Ofisa Habari wa Tume.
0 comments:
Post a Comment