SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, December 24, 2013

Saumu Adadi Rajabu Na Didier Walter Notez Wameremeta

Saumu Adadi Rajabu na Didier Walter Notez mara tu baada ya kumeremet
*******
 
Ndoa ya Saumu Adadi Rajabu na Didier Walter Notez ilifanyika tarehe 20 decembar, 2013 nyumbani kwa Balozi Adadi Rajabu, Mbezi Beach Dar es salaaam, ikifuatiwa na reception iliyofanyika Jumamozi tarehe 21 decembar, 2013 katika hotel ya Whitesands jijini Dar es salaam.
Baba mzaa chema Balozi Adadi Rajabu akitoa mkono wa baraka kwa Bw. Didier Walter Notez wakati wa kufunga ndoa nyumbani kwa Balozi Adadi Mbezi Beach jijini Dar es salaam
Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mama Sitti Mwinyi wanajiunga na maharusi pamoja na wazaa chema kwa picha ya kumbukumbu
Saumu Adadi Rajabu na Didier Walter Notez siku ya ndoa
Saumu Adadi Rajabu na Didier Walter Notez baada ya kubadili
Saumu Adadi Rajabu na wazazi wake na mai hazbendi wake Didier Walter Notez
Familia zikijumuika kwa picha ya kumbukumbu
Maharusi na ndugu wa Bi Harusi
Bi harusi kapendezaje...
Maharusi wakijiandaa kwa mnuso hoteli ya White Sands
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mama Sitti wakijumuika na maharusi na wazazi wao katika tafrija hoteli ya White Sands. 
NA ANKAL MICHUZI

0 comments:

Post a Comment