Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Waziri wa
Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akimsindikiza na kuagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea
nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri
Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiondoka kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana
usiku kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu
nchini. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment