Baadhi ya wa mji wa Ifakara wakiwa wamebeba mabango yenye
ujumbe mbalimbali, wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao
ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe jana.
Mwenyekiti
wa Chama ch Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa katika mkutano wa
Operesheni M4C pamoja Daima jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande
Sele, wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika katika Kata
ya Tungi mjini Mororgoro jana.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele
akiwahutubia wananchi wa Kata ya Tungi mjini Morogoro leo, katika mkutano wa
hadhaa wa Operesheni M4C Pamoj Daima. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe alihutubia pia.Picha na Chadema
0 comments:
Post a Comment