Makamu
Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar es
Salaam, leo wakati alipokuwa akiwasili katika hafla hiyo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Ummy Mwalimu, kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu
wa Rais, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha George Boniface Tuguluvala Simbachawene, kuwa Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Kaika Saning’o Telele, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo
ya Mifugo na Uvuvi, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Eng. Dr. Binilith Satano Mahenge, kuwa Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha
Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, wakia katika picha ya pamoja na Waziri na Manaibu Waziri walioapishwa
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa
tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wapya na wa zamani wa
Ofisi yake, baada ya kuapishwa wapya katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo. Kutoka (kulia) ni aliyekuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya
Makamu wa Rais, Charles Muhangwa Kitwanga, ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa
Nishati na Madini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano)Samia
Suluhu Hassan, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Eng. Dr.
Binilith Satano Mahenge, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu na
aliyekuwa Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Terezya Huvisa, wakati
wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri, iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment