Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto Amos
Msisiri(5) katika kijiji cha Mbigiri kata ya Mateteni Dakawa Mkoani
Morogoro wakati Rais alipokagua maeneo yaliyoathiriwa na Mafuriko
yaliyotokea hivi karibuni na kuleta uharibifu mkubwa wa mali na
miundombinu
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mahema yaliyowahifadhi wahanga wa
Mafuriko katika kijiji cha Magole,mkoani Morogoro wakati alipotembelea
maeneo yaliathiriwa na mafuriko na kuwapa pole wananchi jana.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la Mto Mkundi mkoani
Morogoro linalokarabatiwa baada ya kuharibiwa na mafuriko hivi
karibuni.Rais Kikwete alitembelea eneo hilo na sehemu nyingine
zilizokumbwa na mafuriko hayo kujionea uharibifu
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua nyumba zilizoharibiwa na mafuriko
katika kijiji cha Mateteni, Dakawa Mkoani Morogoro jana.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la Mto Mkundi
mkoani Morogoro linalokarabatiwa baada ya kuharibiwa na mafuriko hivi
karibuni.Rais Kikwete alitembelea eneo hilo na sehemu nyingine
zilizokumbwa na mafuriko hayo kujionea uharibifu
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasaidia watoto kuteka maji katika kisima
kilichipo katika kijiji cha Mbigiri kata ya Mateteni, Mkoani Morogoro
wakati alipotembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua nyumba zilizoharibiwa na mafuriko
katika kijiji cha Mateteni, Dakawa Mkoani Morogoro jana.Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Post a Comment