SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, June 19, 2010

KILA LA HERI,NAWATAKIA WIKIENDI NJEMA NA MOLA AWABARIKI

WADAU ANGALIA KIPAJI HIKI CHA MTANZANIA ANAYESHAINI NCHINI DUBAI
NI MTANZANIA ANAYEISHI NCHINI DUBAI NA ANAFANYA SHUGHULI ZAKE ZA KIMUZIKI HUKO HISTORIA YAKE NILIKUPA HAPA HAPA KIPINDI CHA NYUMA, KWENYE WIMBO HUU AMEFANYA SEHEMU HIYO YA RAGGA. MSANII ANAITWA MONEYPLUS
NDUGU ZANGU PIA KATIKA WIKIENDI HII INATUBIDI TULITAFAKARI HILI KWA KINA ZAIDI-DUNIA NJIA..................!!!
WAKA WAKA ORIGINAL: Zangalewa is a Cameroonian song. It is sometimes called Zamina undermined by the first words. It is part of the repertoire of soldiers, but also groups of young and Scout , throughout Africa. Its rhythm is catchy and it can serve as song march. It has been re made as the theme song for the FIFA world cup in South Africa featuring Shakira. It is a great honor considering the fact that Cameroon is the best soccer nation in Africa and is a great world cup hopeful

BAADA YA KUKARABATIWA WIMBO HUO ULIOIMBWA NA SHAKIRA

0 comments:

Post a Comment