WANAMUZIKI 13 wa kundi la muziki wa taarabu la Five Star waliofariki katika ajali ya gari katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Morogoro, mwezi Machi mwaka huu, jana walifanyiwa hitma katika ukumbi wa PTA uliopo katika Viwanja vya Maonyesho ya Biashara vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria ni pamoja na Mbunge wa Temeke, Zuberi Mtemvu, na Mbunge wa Ilala Hassani Zungu.
Habari Zaidi na Picha: BOFYA HAPA
Habari Zaidi na Picha: BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment