Askari Polisi wa Kituo
cha Chang’ombe jijini Dar es Salaam wakiwa wamemdhibiti mtu anayedaiwa
kuwa ni tapeli aliyejifanya Mfanyakazi wa Shirika la Ugavi wa Umeme
Tanzania (Tanesco) ‘Kishoka’ aliyefahamika kwa jina la Juma Nkondola,
aliyekamatwa katika eneo la Yombo Dovya, wakati akijaribu kutapeli
katika nyumba ya mkazi wa eneo hilo. (Picha na Fadhili Akida)
Sunday, June 20, 2010
Tapeli latiwa Nguvuni!!!
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Sunday, June 20, 2010
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook





0 comments:
Post a Comment