Dunia
hii inaelekea wapi? Huku tukiendelea kupiga vita dhidi ya ukatili kwa
wanawake, kuna wanawake wengine ndio wanaoongoza ukatili huo.
Shuhudia stori hii ya huyu mwanamke katili aliyemchana chana kwa viwembe
mtoto wa kike ambaye ni mfanyakazi wake wa ndani. Taarifa hii ilirushwa
kwenye kipindi cha Wanawake Live cha Joyce Kiria.
0 comments:
Post a Comment