Wakazi wa Wa eneo la Bima Mkoani Mtwara wakiwa wamejitokeza kwa wingi ili kushuhudia ajali iliyohusisha gari kumgonga mwendesha bodaboda na kukikmbia.
Wakishuhudia Ajali
Askari wa Usalama Barabarani (mwenye shati jeupe) akichukua maelezo ya mwendesha bodaboda ambae amegongwa na gari kisha kutoweka katika eneo la Bima lililopo Mtwara mjini.
NA LUKAZA BLOG