Baadhi ya wageni wakichukua taswira ya matembezi hayo mara baada ya kupita barabara ya Rau katika manispaa ya Moshi.
Brass
Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza matembezi ya Hisani ikiwa ni
sehemu mojawapo ya kusherehekea miaka 20 ya Benki ya Ushirika ya
Kilimanjaro (KCBL) .
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Executive Solution ambayo imeratibu sherehe hizo
akiongoza njia ya matembezi hayo ndani ya uwanja wa Chuo kikuu cha
Ushirika.
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Prof Faustine Bee
akifurahia jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick wakati
wakijiandaa kupokea maandamano hayo.katikati ni Mkuu wa wilaya ya
Moshi,Kipi Warioba.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Meck Sadick (kulia) akizungumza jambo na
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) wakati wakiongojea
maandamano hayo ,katikati ni Mkuu Mpya wa wilaya ya Moshi, Kipi Warioba.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akipokea maandamano ya wana
Ushirika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akizungumza mara baada ya
kupokea maandamano ya wanaushirika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka
20 ya Kilimanjaro Cooperative Bank (KCBL).
Mkuu
wa wilaya ya Moshi ,Kipi Warioba akizungumza wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Mwenyekiti
wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) Reginald
Hosea akizungumza mara baada ya maandamano kuwasili katika uwanja wa
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Meneja
Mkuu wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) Elizabeth Makwabe
akizungumza katika sherehe za kutimiza miaka 20 ya benki hiyo .
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi,Prof Faustine Bee akizungumza
katika sherehe hizo zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha
Ushirika Moshi.
Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment