Baadhi ya abiria waliokuwa katika basi la Dar Express, wakiwa eneo la tukio baada ya basi hilo kupiga mweleka leo majira ya saa nne asubuhi karibu na wami wakati basi hilo likitokea mkoani Dar es Salaam, kueelekea Nairobi. Katika ajali hiyo mapaka sasa haijaripotiwa kifo, lakini wengi wakiripotiwa majeruhi.
Raia waliokuwa katika basi hilo wakiwa eneo la tukio.