Waliomeremeta wakiingia ukumbini kwa raha zao huku wageni waalikwa wakiwafurahia.
Bwana Harusi Erick’Msengii’Natianota akimlisha cake mke wake kipenzi Herieth Kashangaki siku waliyoamua kuachana na ukapela hapo jana.
Mambo ya kwaito hayo…saaafi.
Wadogo zake bwana harusi wakiwa na nyuso za furaha kwa kaka yao kuoa.
Wageni waalikwa..
Mrs. Nkurlu akitoa hongera kwa waliomeremeta.
Hongera mdogo wangu alisikika akisema Bro Joe.
Edna Kashangaki ambaye ni dada yake mkubwa na bi.Harusi akilia kwa furaha mara baada ya kuagana na mdogo wake.
Baba mzazi wa Bwana harusi Mzee Shanta Natianota,akiongea machache kwa wanae Erick na Herieth.
Wafanyakazi wenza na Bw.Harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Dada zake Bwana harusi wakiwa na nyuso bashashi na waume zao katika harusi hiyo iliyofana.
0 comments:
Post a Comment