SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, November 29, 2012

Majengo mapya ya jumuiya ya Africa mashariki yamezinduliwa Arusha.


Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongozwa na Rais wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete wamezindua rasmi majengo mapya ya makao makuu ya jumuiya hiyo yaliyoko jijini Arusha yaliyojengwa chini ya ushirikiano wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo .

0 comments:

Post a Comment