SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 11, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA SINCHUAN HONGDA GROUP YA CHINA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti aliyeongozana na ujumbe kutoka Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu, wakati ujumbe huo ulipofika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia zawadi ya picha wakati akikabidhiwa zawadi ya picha na Mwenyekiti  wa umoja wa Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu  (katikati) na Mjumbe, Liu Canglang,  wakati ujumbe huo ulipofiaka ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe Kutoka Hongda Group, Beijing China, wakati ujumbe huo ulipofika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Hongda Group, kutoka Beijing China, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, leo Julai 12, 2012.
(Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais)

0 comments:

Post a Comment