SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 11, 2012

BARAZA LA MADAKTARI TANGANYIKA LASITISHA HATI ZA USAJILI WA MUDA KWA MADAKTARI WALIOGOMA KUTOA HUDUMA

TAARIFA KWA UMMA
Baraza la Madaktari Tanganyika limepokea malalamiko kutoka kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba,  baadhi ya Madaktari waliopata usajili wa muda ili kuwawezesha kufanya mafunzo kwa vitendo (Internship), waligoma kutoa huduma kwa wagonjwa kati ya tarehe 23 na 29 mwezi Juni 2012. Madaktari hao walipangiwa kutoa huduma kwa wagonjwa katika hospitali za Muhimbili, K.C.M.C, Rufaa Mbeya, Bugando, Amana, Temeke,St. Francis- Ifakara, Mwananyamala, Sekou Toure,  Haydom na Dodoma. Kufuatia mgomo huo, uongozi wa hospitali husika uliwaandikia barua iliyomtaka kila daktari aliyeshiriki kwenye mgomo kuripoti kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu Wizara ya  Afya na Ustawi wa Jamii aliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la Madaktari Tanganyika kwamba, Madaktari waliogoma walikataa kutoa huduma za kitaalamu, ikiwa ni wajibu wao, na kwamba kitendo hicho kilihatarisha maisha ya wagonjwa katika hospitali husika na pia ni kinyume na maadili ya taaluma ya udaktari.
Kufuatia malalamiko hayo, Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika, alimwandikia kila daktari aliyelalamikiwa Taarifa ya Kusudio la Kufanya Uchunguzi (Preliminary Examination) dhidi yake, juu ya malalamiko yaliyowasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Baraza la Madaktari Tanganyika limebaini kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Madaktari, Sura ya 152, Madaktari waliokuwa kwenye mgomo na ambao kwa sasa wameondolewa katika hospitali walizokuwa wakifanya mafunzo kwa vitendo, wamepoteza sifa za kupata usajili wa muda (Provisional Registration).
Kwa kuzingatia masharti ya Sheria kuhusu kupata usajili wa muda, Baraza la Madaktari Tanganyika limeridhika kwamba madaktari wote ambao majina yao yameorodheshwa katika Taarifa hii, wamepoteza sifa na kwa sababu hiyo, usajili wao umesitishwa kuanzia tarehe 11 Julai, 2012. Madaktari wote wanaohusika wanatakiwa kurejesha hati za usajili wa muda kwenye Ofisi ya Msajili wa Madaktari kabla ya tarehe 17 Julai, 2012.
S/NO
JINA
REG. NO.
MUHIMBILI
1
Dr. Dickson N. Sahini
363
2
Dr. Elphas G. Mrita
4902
3
Dr. Anastazia E. Komba
4973
4
Dr. Anna Lwemunge
5086
5
Dr. Mariam Amour
4974
6
Dr. Jackline Matowo
5372
7
Dr. Baya Kisiwa
4970
8
Dr. Lilian B. Komba
4871
9
Dr. Pavina Kazaura
5089
10
Dr. Herifrid Kimambo
5377
11
Dr. Kokuhabwa Mukurasi
5095
12
Dr. Evance Godfrey
5059
13
Dr. Emmanuel K. Luchagula
4874
14
Dr. Florence Mtei
5094
15
Dr. Alfonse Moyo
5097
16
Dr. Alkwinus Kabwogi
4889
17
Dr. Rebeca A. Kalikawe
4962
18
Dr. Aida O. Salum
5368
19
Dr. Aron Aron
5345
20
Dr. Sabza Masoud
4956
21
Dr. Ramadhani Kabota
4861
22
Dr. Norbert Benjamin
23
Dr. Victroia Paul
5084
24
Dr. Godfery Chuwa
5097
25
Dr. Goodluck Mrosso
356
26
Dr. Luciana Albert
375
27
Dr. Gendagenda Mkombozi
372
28
Dr. Lucas Mselle
4919
29
Dr. Edna Mwakyembe
365
30
Dr. Haruna Rashid
552
31
Dr. Sara Lumumanji
5006
32
Dr. Paul Zacharia
4858
33
Dr. Abza Saka
4981
34
Dr. Baraka Maige
5361
35
Dr. Wilhelmuss  I. Mauka
4979
36
Dr. Deogratius Mally
4960
37
Dr. Ahmad  Fadhil Kombo
4868
38
Dr. Iman Bawazir
4799
39
Dr. Frank Kagoro
5046
40
Dr. Baraka Yessaya
5058
41
Dr. Naki Kiroga
5347
42
Dr. Bakari A. Gillal
4959
43
Dr. Linda August
5343
44
Dr. Shah Alkash
342
45
Dr. Chihoma Mhaki
358
46
Dr. Gloria Leo
337
47
Dr. Mohamed M. Ally
48
Dr. Ahmed Kombo
5389
49
Dr. Steven Nandi
5030
50
Dr. Moses J. Karashani
5040
51
Dr. Innocent Mpuya
5371
52
Dr. Octar Javett
5048
53
Dr. Juma Mbugi
5018
54
Dr. Neema Nalitolela
4966
55
Dr. John Nkenda
4963
56
Dr. Ngutuni Jackson
5005
57
Dr. Malava F. Raphael
4982
58
Dr. Masawa Nyamunjeku
5000
59
Dr. Shubi Matovelo
4976
60
Dr. Winnie Temu
4965
61
Dr. Sarah Shiraz
5024
62
Dr. Hafsa Hawesi
5369
63
Dr. Anthony Kingilo
5330
64
Dr. Elikanaar Urio
5336
65
Dr. Zainabu Mkinde
5367
66
Dr. Shau Hamdan
5071
67
Dr. Cristogone Justine
4968
68
Dr. Conrade Ngonyani
4865
69
Dr. Deo B. Mwanakulya
4873
70
Dr. Lucy Laurent
4872
71
Dr. Khadija Juma
4969
72
Dr. Valentino Koja
5338
73
Dr. Aloyce F. Lengasia
4977
74
Dr. Zyleen Kasamali
4888
75
Dr. Mwajuma Mustapha
4971
76
Dr. Mariam Hamad
4859
77
Dr. Francis Mwimazi
4967
78
Dr. Hassan Barnabas
5364
79
Dr. Grace Mmasi
5045
80
Dr. Mohamed Mzige
4860
81
Dr. Elias Paschal
4961
82
Dr. Farida Mtonga
5002
83
Dr. Gabriel Mbwete
5337
84
Dr. Magdalena Dennis
4910
85
Dr. Ahmed Ahmed
4798
86
Dr. Joseph Shaban
5408
87
Dr. Prudence Premier
5409
88
Dr. Malaja Ng’wigulu
5019
89
Dr. Biswaro Malima
4975
90
Dr. Isaac Mlay
5007
91
Dr. Raymond Samwel
5017
92
Dr. Michael Kiremeji
5376
93
Dr. Viviene Mlawi
5000
94
Dr. John Jananga
5380
95
Dr. Said Ibrahim
5020
96
Dr. Alphonce Simbila
5047
97
Dr. Catherine Mlowe
5044
98
Dr. Barbara Mwaipola
4964
99
Dr. Joel J. James
5129
100
Dr. Bright Sangiwa
5053
101
Dr. Evance Alexander
4887
102
Dr. Martha Nkya
5335
103
Dr. Camilla Kinemo
5406

KCMC
1
Dr. Malkiadi P. Mbota
5208
2
Dr. Wilfred j. Meza
4900
3
Dr. Shomari O. Masenga
4983
4
Dr. Jamila J. Shemweta
5009
5
Dr. Godbless E. Massawe
5026
6
Dr. Rahel T. Mwavika
4879
7
Dr. Eliakimu P. Kapyolo
5032
8
Dr. Godfrey N. Barabona
5051
9
Dr. Aristides K. Raphael
4984
11
Dr. Emmanuel M. Manyonyi
5077
12
Dr. Herielly O. Msuya
5118
14
Dr. Noel J. Makundi
5142
15
Dr. Maxigama Y. Ndosi
5107
16
Dr. Patrick A. Karua
5137
17
Dr. George C. Mgalega
5155
18
Dr. Juma Adinan Juma
5151
19
Dr. Kenneth J. Mlay
5158
20
Dr. Njengo B. Mbanga
5145
21
Dr. Yesige A. Mutajwaa
5171
22
Dr. Mbazi D. Shemwetta
5139
23
Dr. Mwanaidi S. Mkwizu
5141
24
Dr. Peter E. Ng’wamkai
5109
25
Dr. Tumaini D. Ndibwire
5131
26
Dr. Lucas D. Ngamtwa
5161
27
Dr. Goodluck J. Ulomi
5143
28
Dr. Juma M. Nahonyo
5150
29
Dr. Emmanuel S. Masatu
4899
30
Dr. Angela E. Pallangyo
5110
31
Dr. Casto E. Mlay
5182
32
Dr. Birjna A. Hirani
5152
33
Dr. Anette J. Kessy
5178
34
Dr. Ester P. Lazaro
5190
35
Dr. Mugisha N. Nkoronko
5115
36
Dr. Sofia A. Ottaru
5146
37
Dr. Raya Y. Mussa
5132
38
Dr. Regina Y. Msanga
5148
39
Dr. Delfina R. Msanga
5147
40
Dr. Allen G. Kangarawe
5138
41
Dr. Sia C. Kiwia
5198
42
Dr. Peter E. Kipiki
5144
43
Dr. Avelina R. Kimaryo
5177
44
Dr. Peter F. Mwandiga
5075
45
Dr. Daimon B. Mwasamila,
5210
46
Dr. Emmanuel D. Lema
5185
47
Dr. Karungi J. Karoma
5130
48
Dr. Fortunatus m. Ibreck
5199
49
Dr. Sadiq S. Dawood
5121
50
Dr. Witness M. Mchwampaka
5186
51
Dr. Azza A. Naif
5111
52
Dr. Malkiadi P. Mbota
5208
53
Dr. Mariam T. Johari
5013
54
Dr. Daniel M. Chochole
5162
55
Dr. Oliver T. Masoy
5197
56
Dr. Gerald C. Robi
4927
57
Dr. Erasto S. Odindo
5229
58
Dr. Kasirye J. Collins
5243
59
Dr. George D. Dilunga
5239
60
Dr. Emmanuel S. Maro
5240
61
Dr. Irene R. Haule
5242
62
Dr. Godfrey A. Kisuma
5246
63
Dr. Frank M. Sudai
5231
64
Dr. Annette A. Marandu
5196




KWA HABARI ZAIDI BOFYA


0 comments:

Post a Comment