Committee mzima ya maandalizi ya Graduation katika picha ya pamoja na Wageni Rasmi.
Sehemu ya Waalikwa wakiwa waetulia huku wakifuatilia Ratiba mzima wa Graduation.
"Utamu wa ngoma uingie Ucheze" hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya wacheza ngoma hiyo yenye asili toka Uganda kukolea ndipo watu wengine waliposhindwa kujizuia na kujikuta wakipanda stegini kucheza ngoma hiyo kisawasawa.
Raphael Mukimala Bitungwa akishikilia cheti chake na Mgeni Rasmi-katika masuala ya Multimedia and Animation.
Bwana Ibrahim Ssendaula-Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Uganda Hyderabad-India. akiwa na cheti chake baada ya kuchukua nondozz!!
wakiwa katika picha na geni rasi baada ya kupokea vyeti vyao na kuvirusha juu ikiwa ni ishara au kuashiria tuealiza salaa masoo yetu.
Mdau wangu toka Sudan.
Nayiga Josephine Irene-Bsc in Multiedia and Animation Mannomaniam Sundaranar University.
Picha ya pamoja kwa wahitimu.
Hapa viongozi wakibadilishana mawzo.
Wahitimu wakiwa katika pozi tofauti tofauti.
Thorasse Gatembezi toka Rwanda akiwa na wenyekiti wa FSAH
(Foreign Students Association Hyderabad)
PICHA ZOTE NA HABARI KWA HISANI YA allyshams Blog 24 SEVEN365
0 comments:
Post a Comment