Mbunge wa Mbeya Mjini(Chadema) Joseph Mbilinyi,akiwa eneo la Mafiati walipokuwa wakifikishwa vijana waliokuwa wakikamatwa, aliyekaa chini huku akitokwa damu ni mmoja wa viajana walijeruhiwa katika vurugu hizo.
Askari wa Jeshi la Wananchi na JKT wakiwaamuru Vijana kuondoa mawe yaliyokuwa yamewekwa barabara ya Kabwe jana.
Askari wa Jeshi la Wananchi na JKT wakikabiliana na vijana maeneo ya Mafiati jijini Mbeya jana.
0 comments:
Post a Comment