SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, November 11, 2011

Kasheshe La Wamachinga Soko La Mwanjelwa Mkoani Mbeya na Polisi Leo

Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
Wamachinga wakiwa Tayali kwa ajili ya Kupambana na FFU wakati wa tukio hilo
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Polisi wakijalibu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga

0 comments:

Post a Comment