Mwanamuziki wa Sweet Reggae wa siku nyingi, Gregory Isaacs (pichani), amefariki dunia nchini Uingereza jana. Kwa mujibu wa taarifa fupi ya BBC iliyosikika jioni ya jana, mwanamuziki huyo amefariki hospitali alikokuwa anatibiwa. Nyimbo zilizompatia sifa mwanamuzki huyu ni nyingi na moja wapo ni Night Nurse ambayo unaweza kuisikiliza hapo juu na kukumbuka mambo yalivyokuwa miaka ya 80.
Tuesday, October 26, 2010
GREGORY ISAACS AFARIKI DUANIA!
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Tuesday, October 26, 2010
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment