Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu katibu mkuu wa CHADEMA taifa, Zitto Zuberi Kabwe akiunguruma mbele ya mamia ya wanachama wa Chadema Mjini Tabora Jana Wakati wa Uzinduzi wa matawi ya chama katika kila Kata ya Mji huo.
Wakati huo huo chadema kimefanya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa vijiji katika jimbo la Naibu Katibu Mkuu wa CCM mwigulu nchemba Zilifunguliwa na Ally Bananga .Uchaguzi ni wa Vijiji 8 na Vitongoji 28.
Picha na Habari na Chadema
0 comments:
Post a Comment