SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 4, 2015

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA WA FEDHA

1
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (katikati) akiwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kulia) wakiwasili kwenye ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi la Wizara wa Fedha lililofanyika leo mjini Morogoro. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo ambaye pia ni Katibu Mkuu Dkt. Servacius Likwelile.

2
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi la Wizara wa Fedha lililofanyika leo mjini Morogoro.
3
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe akiwakaribisha wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Wizara wa Fedha kwenye ufunguzi wa kikao cha kikao cha baraza hilo lililofanyika leo mjini Morogoro.
4
Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wa wizara ya Fedha ambaye pia ni Katibu Mkuu Dkt. Servacius Likwelile akitoa neno kabla ya ufunguzi wa kikao cha baraza hilo lililofanyika leo mjini Morogoro.
5
Picha ya pamoja ya baadhi ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa wizara ya Fedha lililofanyika leo mjini Morogoro.(Muro)

0 comments:

Post a Comment