Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya
kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara
cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo
Oktoba 24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara
cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo
Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na
Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek
Kloczko,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under
Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bibi Katarzyna
Kacperczyk na Bwana Jerzy Pietrewiez ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya
Uchumi ya Polland.
Baadhi
ya wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia jijini Warsaw Oktoba
24, 2014.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda
cha ROL- BRAT kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi
nchini humo Oktoba 24, 2014.
Waziri
Muu, Mizengo Pindaakipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini
Polland Bw, Aleksandr Zincman(kushoto) kuhusu usindikaji ngano wakati
alipokagua kiwanda cha kusindika unga cha Chojnow nchini Polland akiwa
kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini
Polland Bw, Aleksandr Zincman (kulia) wakati alipotembelea kiwanda cha
kutengeneza maghala ya kuhifadhia nafaka (silos), mashine za kukausha
nafaka na mashine za kusafisha nafaka cha Chojnow nchini Polland akiwa
katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment