Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu
(MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani)
majukumu wanayotekeleza katika kuhakikisha wanakabiliana na tatizo la Mgongo
wazi na Vichwa vikubwa ikiwamo kutoa elimu bora kwa madaktari wanaosomea somo
hilo, kwenda mikoani kutoa tiba kwa watoto wenye matatizo hayo,wakati wa
maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani leo
Jijini Dar es salaam. Kushoto ni mwenyekiti wa chama cha wazazi wenye watoto wa
kichwa kikubwa na mgongo wazi(ASBHAT) Bw. Abdulhakim Bayakub.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Bw.
Abdulhakim Bayakub akitoa rai kwa watanzania wanaoguswa na tatizo hili
kujitokeza na kusaidia chama hicho ikiwa ni njia ya kuwasaidia watoto wenye tatizo hilo ili
kuokoa maisha yao kwa mpaka sasa Chama kina mfadhili mmoja.Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu
(MOI) Dkt. Othmani Kiloloma
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu
(MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akimkabidhi Mama Dorcas Membe kitabu cha Mpango
shirikishi wa Mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo Wazi na kumuomba kuwa Mlezi wa
chama cha Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi
(ASBHAT) ambapo ameahidi kushirikiana na chama hicho katika harakati za
kukabiliana na Tatizo la Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi. kulia ni Mwenyekiti wa
Chama hicho Bw. Abdulhakim Bayakub.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Bw.
Abdulhakim Bayakub akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya
Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma
cheti shukrani kwa mchango wanaoendelea kuutoa cha chama hicho ikiwamo kutoa
matibabu kwa Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi.
Baadhi ya wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa
na Mgongo Wazi waliojitokeza katika sherehe hizo za Maadhimisho ya ya siku ya
mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani yaliyofanyika Taasisi ya Tiba
ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) leo Jijini Dar es
Salaam.

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,
Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bi. Germana Gasper akitoa
maaelezo kwa wananchi waliojitokeza katika banda wakati wa sherehe na kuwaasa
wazazi hasa wakike waliokatika umri wa kubeba mimba kutumia vyakula vyenye
vitamin ya Foliki kama maembe, Mchicha, Mihogo,machungwa, maharage,
mahindi,mayai, ndizi, parachichi, papai, maini na kabichi, ili kukabiliana na
tatizo la Kichwa kikubwa na Mgongo wazi kwa watoto wanaozaliwa

Mlezi
wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama
Dorcas Membe akiteta jambo na moja ya mtoto mwenye tatizo la kichwa kikubwa
anayepata huduma Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya
Fahamu (MOI).
Mlezi
wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama
Dorcas Membe, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa
Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma(Kulia), Mwenyekiti wa
Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Bw.
Abdulhakim Bayakub(mwenye T-shirt nyeupe) na Moja ya mtoto mwenye tatizo la
Kichwa Kikubwa wakikata keki katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya mtoto wa
kichwa kikubwa na Mgongo wazi duniani leo Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya
Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma
akimlisha keki Moja ya mtoto mwenye tatizo la Kichwa Kikubwa wakikata keki katika
sherehe za Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo wazi
duniani leo Jijini Dar es salaam.
Mlezi
wa
Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT)
Mama
Dorcas Membe akimlisha keki mmoja ya mtoto mwenye tatizo la Kichwa
Kikubwa katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa
kikubwa
na Mgongo wazi duniani leo Jijini Dar es salaam
Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa
Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe akikabidhi msaada wa vitu
mbalimbali kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na
Mgongo Wazi (ASBHAT) Bw. Abdulhakim Bayakub.
Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa
Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe akiwapa msaada kinamama wenye
watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi.
Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa
Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe akiwapa msaada kinamama wenye
watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi.
Mlezi
wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama
Dorcas Membe akiwapa msaada kinamama wenye watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo
Wazi.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment