SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, October 26, 2014

RIGWARIDE LIMEMSHINDA MISS TANZANIA 2014 AAMUA KUBWAGA MANYANAGA, KUJIVUA TAJI

''HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU, KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA HILI TAJI LA UMISS TANZANIA 2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA WANAYE ONA ANASTAHILI TAJI HILI APEWE ILI NIENDELEE NA MAISHA YANGU KWA AMANI ,ISIWE SHIDA SANA KWANI SITEGEMEI TAJI HILI ILI KUISHI''!!......

CHANZO: BOFYA HAPA
Haya ni maneno aliyoandika mwenyewe katika ukurasa wake wa Face Book, ambapo wengi walioingia kaika ukurasa wake huo wamempongeza kwa hatua hiyo ya busara.

Mrembo Sitti Abbas Mtemvu, Miss Tanzania 2014 ameamua kutangaza katika ukurasa wake wa Face Book kuwa ameamua kmujivua taji hilo kwa kile alichodai kuwa amezidi kusakamwa na watanzania na wadau wa urembo, kutokana yanayoendelea kusemwa kila kukicha kuhusu umri wake na zaidi 'kufoji' kusema uongo juu ya nyaraka zake.
CHANZO: BOFAYA HAPA 

PIA KUNA PAGE HII YA FACEBOOK MWENYEWE ANAPINGA YA KWMBA HAJAJIVUA TAJI INASOMEKA KAMA IFUATAVYO:
 
"HABARI WATANZANIA, KUNA UVUMI UMEANZA KUENEA KWENYE MITANDAO KWAMBA NIMEJIVUA TAJI. UVUMI HUO SIO KWELI NA PAGE HIYO YA FACEBOOK SI YAKWANGU TAFADHALI ACHA KUIFATILIA KWASABABU TAARIFA HIZO SI ZA KWELI. TAJI SIJAJIVUA NA WALA SIJAVULIWA. ASANTENI" Maneno ya sitti nimenukuu.
CHANZO: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment