Jeshi la polisi mkoani Pwani linawashikilia watu 100 raia wa Ethiopia
kwa kosa la kuingia nchini bila kibali katika matukio mawili tofauti
yaliyotokea Mlandizi Kibaha na Chalinze bagamoyo mkoani pwani pamoja na
watanzania wanne akiwemo dereva wa gari walilokuwa wakisafiria wahamiaji
hao haramu akiwemo utingo na watu wengine wawili wanaodaiwa kuwa ni
wasindikizaji.
0 comments:
Post a Comment