Mfanyakazi
wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom George Rwehumbiza, akiwaelekeza
baadhi ya wafanyabiashara wa viatu walioko katika soko la kariakoo namna
ya kujiunga na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa
Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12
asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga
*149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom
waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa
elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.
Mfanyakazi
wa Vodacom George Rwehumbiza, akiwaelekeza wafanyabiashara ya nyanya
wa soko la kariakoo jijini Dar es Salaam, Bwana. Hassan Kibasha na Ahmed
Msalima namna ya kujiunga na huduma ya Hallo Tanzania ambayo
inamuwezesha mteja wa Vodacom kupata sekunde 60 za kuzungumza kila siku
asubuhi. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua
Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali
mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na
huduma hiyo.
Meneja
wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Hyvone Maruma,
akiwaelekeza wateja wa Mtandao huo namna ya kujiunga na huduma Mpya ya
Hallo Tanzania ambayo inamuwezesha mteja wa Vodacom kupata sekunde 60 za
muda wa maongezi kila siku asubuhi. Kujiunga na Huduma hiyo mteja
atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom
waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa
elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.
Mfanyakazi
wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom George Rwehumbiza, akiwaelekeza
baadhi ya wafanyabiashara katika soko la kariakoo namna ya kujiunga na
huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde
60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3
asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua
Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali
mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na
huduma hiyo.
Meneja
wa Vodacom wilaya ya kibiashara ya Buguruni, Michael Bigambo
akiwaelimisha waendesha Boda Boda wa Buguruni Sheli namna ya kujiunga na
huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom.
Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi
saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na
kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika
mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja
kuhusiana na huduma hiyo.
Mhasibu
wa Vodacom Makao Makuu, Raphael Soka, akizungumza na Dereva Boda Joseph
kayaula, kuhusiana na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia
mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia
saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga
*149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom
waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa
elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.
Mhasibu
wa Vodacom Tanzania Enjo Rusubi, akizungumza na wafanyabiashara ya
Machungwa wa soko la Buguruni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na huduma
mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za
kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui.
Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo
Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali
ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na huduma
hiyo.
Kiongozi
wa Mawakala wa Vodacom, Erick Mhegela, akitoa Elimu kwa wafanyabiashara
ya Pweza katika soko la Samaki la Feli jijini Dar es Salaam, Ali
Athumani wa Kwanza kushoto na Amis Msige kuhusiana na huduma Mpya ya
Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za kuongea
bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui.
Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo
Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali
ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na huduma
hiyo.
Kiongozi
wa Mawakala wa Vodacom, Upendo machibya , akimuelekeza dereva Boda Boda
wa Feli jijini Dar es Salaam. Bw. Mohamed Mzee, namna ya kujiunga na
huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde
60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3
asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua
Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali
mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na
huduma hiyo.
Kiongozi
wa Mawakala wa Vodacom, Upendo machibya , akimuelekeza Mfanyabiashara
ya Pweza katika soko la samaki la Feri jijini Dar es Salaam, namna ya
kujiunga na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa
Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12
asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga
*149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom
waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa
elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania leo wametembelea maeneo mbali mbali ya jiji la Dar
es Salaam kwa lengo la kutoa huduma za mtandao huo ikiwemo promosheni
yake mpya ya Hello Tanzanua iliyoanza rasmi juzi nchi nzima.
Promosheni
hiyo ya Hello Tanzania inawawezesha wateja wa Vodacom kuamka na kuanza
siku na Dakika moja ya bure wanayoweza kuitumia kati ya Saa Kumi na
Mbili Alfajiri na Saa Tatu Asubuhi.
Maeneo
ambayo yaliyofikiwa na wafanyakazi hao ni pamoja na Mbagala, Ubungo,
Temeke, Kawe, Buguruni, Kinondoni pamoja na Kivukoni, mtaa wa Azikiwe
Posta mpya, soko kuu la Kariakoo, mtaa wa Msimbazi, Uhuru na Aggrey,
Mchikichini na maeneo ya Muhimbili.
Akifafanua
juu ya uamuzi wa kuwatuia wafanyakazi wa idara mbalimbali kuzungukia
soko Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza amesema kuwa
lengo ni kutaka kuwahusisha moja kwa moja wafanyakazi wa kampuni hiyo
katika kuwahudumia na kuwafikia wateja popote walipo na pale hitaji
linapojitokeza.
“Zoezi
hili linawasaidia pia wafanyakazi kujua namna tunavyowahudumia wateja,
wanavyopokea huduma na nini cha kuwaboreshea katika kuhakikisha tunamhud
Mia kila mmoja kwa kiwango cha kukidhi mataraijio yake.”Alisema Meza
“Hello
Tanzania” ni huduma mpya na tungependa wateja wetu wawe na ufahamu
mkubwa juu ya huduma hiyo ili waweze kufaidika nayo na hivyo kufikia
azma yetu ya kuwawawezesha kimawasiliano.”Alisema Moses Krom ambaye ni
mfanyakazi wa Vodacom katika idara ya M pesa
“Tumepita
maeneo yote hayo na kuwaeleimisha jinsi ya kujiunga ambapo ni kupiga
*149*01# na kuchagua huduma ya Hello Tanzania”Alisema Krom
Aidha
wafanyakazi hao wamesema kuwa wamefurahi kujumuika pamoja na wateja wao
kwani imewaongezea uelewa wa jinsi wateja wananvyofurahia huduma na
changamoto wanazokabiliana nazo.
“Kwa
kweli ni mara yangu ya kwanza kama mfanyakazi wa Vodacom kujumuika
pamoja mtaani na wateja wetu. Nimegundua mambo mengi sana na zaidi ni
jinsi wanavyofurahia huduma zetu ikiwemo M-pesa.”Alisema xxxxxx
mfanyakazi kutoka idara ya xxxxxx Na kuongeza “Vodacom tunafanya vizuri
sokoni na kwa upande wa changamoto tulizowakuta nazo wateja nyingima
zetu mbalimbali.”Aliongeza
Wateja
nao wameelezea walivyopokea zoezi hilo katika makazi yao kuja
kuwahudumia moja kwa moja. “Kwa kweli nimefurahi na najiskia kuwa karibu
zaidi na Vodacom, hili ni jambo zuri nani wazi linaongeza ukaribu kati
ya wateja na mtoa huduma, nawapongeza sana Vodacom.”Alisema Yohana Peter
Mkazi wa Tegeta
“Mimi
kwa upande wangu nimevutiwa sana na kitendo hiki walichoamua kukifanya.
Huduma ya Hello Tanzania ni nzuri kwa kweli kwani leo nimeijaribu
asubuhi nilipoamka kwa kumpigia rafiki yangu kumkumbushia mipango yetu
ya kazi tuliyoipanga jana jioni.” Alisema BW, Boniface Jacob mkazi wa
Buguruni
“Si
watu wote wanafahamu jinsi ya kujiunga na huduma hizi, nimeshuhudia mara
kadhaa watu wakighairi kufanya hivyo kutokana na uvivu tu wa kufuata
maelekezo ya jinsi ya kujiunga. Lakini leo wafanyakazi hawa
wamewaunganisha wateja wao kwa kuwaelekeza hatua moja baada ya nyingine
kitu ambachi kitasaidia siku za usoni mteja kufanya hivyo mwenyewe.
Nawasihi huu usiwe mwisho bali ni mwanzo, pia ningependa kuwapongeza kwa
ubunifu huu waliouonesha hongera sana kwa kuzidi kutujali wateja wao.”
Alihitimisha Bw. Jacob.
0 comments:
Post a Comment