Siku
ya jana klabu ya Arsenal iliweza kulipiza kisasi cha kufungwa mabao 5-1
na Liverpool katika EPL, baada ya kuitandika 2-1 Liverpool katika
mchezo wa raundi ya 5 ya kombe la FA.
Mabao ya Arsenal yalifungwa na Chamberlain na Podolski huku goli la Liverpool likifungwa na Steven Gerrard.
0 comments:
Post a Comment