
Bendi
ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika viwanja
Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika jana jijini Dar es
Salaam

Jaji
Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kushoto) mstari wa kwanza
akiwa katika maandamano ya siku ya sheria jana na baadhi ya majaji
kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .

Rais
Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania
Mohamed Chande Othman (kulia)jana mara baada ya kuwasili kwenye
maadhimisho ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji
kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads

Rais
Jakaya Kikwete akitoa hotuba leo kwenye maadhimisho ya siku ya
sheria kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads

Jakaya
Kikwete akipokelewa (katikati ) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed
Chande Othman (kulia)jana mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho
ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji kwenye
viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Picha Magreth Kinabo – MAELEZO
=======*********========
=======*********========
Maadhimisho ya Siku ya sheria nchini yalivyofana mjini Moshi
Jaji Aisha Nyerere akiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya
kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake katika Siku
ya Shera.
Kikosi cha kutuliza fujo,kikiwa tayari kwa ukaguzi .
Jaji Aisha Nyerere akikagua gwaride maalumu katika viwanja vya
mahakama kuu mjini Moshi.
Brass Band ya Chuo cha taaluma ya Polisi Moshi kilikuwepo kutoa
burudani kwa waalikwa.
Jaji Aisha Nyerere akipokea hesima kutoka kwa askari wa kikosi cha
kutuliza ghasia katika gwaride lililoandaliwa kwa ya siku ya Sheria.
Gwaride likitoka katika viwanja vya mahakama kuu ,mara baada ya
kihitimisha shghuli katika sherehe za siku ya Sheria.
Jaji Aisha Nyerere akiwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro
Robert Boaz katika siku ya Sheria iliyofanyika katika viwanja vya
mahakama kuu.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mh. Leonidas Gama (kulia) pia alihudhulia sherehe hizo.
Wageni mbalimbali na mawakili walikuwepo katika viwanja vya mahakama
kuu kanda ya Moshi akiwemo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama. 
Baadhi
ya mawakili wakiwa katika mstari wakingojea mgeni rasmi Jaji Aisha
Nyerere katika siku ya Sheria iliyofanyika mjini Moshi. Na Dixon
Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
0 comments:
Post a Comment