Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe akiwasilidelhi india

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi walipofika
katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India na kuweka
shada la mauwa katika makumbusho hayo,akifuatana na ujumbe wake katika
ziara ya siku tatu nchini humo

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiweka saini kitabu cha kumbukumbu ya wageni katika makumbusho ya
Mahatma Gandhi katika Mji wa New Delhi India baada ya kuweka shada la mauwa (katikati)Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi (kushoto)

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Ujumbe wake wakielekea katika sehemu maalum iliyotengwa
kwa shuhuli ya uwekaji wa mauwa kwa wageni mbali mbali wanaofika sehemu
hiyo ya Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakiweka shada la mauwa katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, ambayo
ni sehemu maalum iliyotayarishwa kwa wageni mbali mbali wanaofika
katika Makumbusho hayo,Rais akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake
Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mwenyeji wake
Makamo wa Rais wa India Mohammed Hamid Ansari, mara alipowasili Ofisini
kwake Mjini New Delhi,akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakiwemo Mwaziri
mbali mbali na makatibu.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao
wakiingia katika Makumbusho ya Hawa Mahal Mji wa Jaipur Jimbo la
Rajastan nchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao
wakiingia vitu mbalimbali katika Makumbusho ya Hawa Mahal Mji wa Jaipur Jimbo la
Rajastan nchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiangalia taa iliyotengenezwa na Akinamama wa Zanzibaar Kisiwani Pemba
alipotembelea Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa
wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la
Rajastan ncchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
katikati)akiwa na Viongozi wa Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya
Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer
Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku
ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi
mbili hizo

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(mwenye suti nyeusi katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi
wa Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee
katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India
pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.
0 comments:
Post a Comment