










VURUGU wakati wa msako wa polisi katika msikiti wa Musa mtaa wa Majengo, Mombasa nchini Kenya umesababisha vifo vya watu watatu akiwepo polisi wakati wengine wengi wakijeruhiwa.
Vurugu hizo zilitokea kuanzia juzi Jumapili baada ya polisi kuvamia msikiti huo uliodaiwa kuhubiri itikadi kali za kiislamu.
Katika msako huo vijana zaidi ya 100 wamekamatwa na jana walifikishwa mahakamani kujibu makosa ya kujihusisha na vitendo cha kigaidi.
(PICHA NA MDAU WA GPL MOMBASA, KUTOKA GLOBAL WhatsApp # +255 753 715 779)
0 comments:
Post a Comment