Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama
Salma Kikwete akipokewa na Mwanzilishi na Mtendaji mkuu wa Taasisi ya
Opportunity Education Bwana Joe Ricketts kwenye uwanja wa ndege katika
mji wa Omaha uliopo katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Kate Stephens,
7, mara baada ya Mama Salma kutua kwenye uwanja wa ndege wa Omaha
katika jimbo la Nebraska nchini Marekani
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akionyeshwa na Bwana James Ricketts, Rais na
Mtendaji Mkuu wa wa Taasisi ya Oppoturnity Education shughuli
mbalimbali za kununua na kusafirisha vifaa vya elimu kwenda kwenye shule
katika nchi mbalimbali hapa duniani ikiwamo Tanzania wakati Mama Salma
alipotembelea Taasisi hiyo yenye Makao Makuu yake huko Omaha katika
Jimbo la Nebraska nchini Marekani
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea
zawadi ya ngao kutoka kwa Bwana Joe Ricketts, Mwanzilishi na Mtendaji
Mkuu wa Taasisi ya Opportunity Education iliyoko huko Omaha nchini
Marekani. Bwana Ricketts alitoa zawadi hiyo kwa kutambua mchango mkubwa
sana alioufanya Mama Salma binafsi na Taasisi yake ya WAMA Foundation
katika masuala ya elimu. Afya na uwezeshaji kwa akina mama..
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo
na uongozi wa juu wa Taasisi ya Opportunies Education kwenye ofisi za
taasisi hiyo huko Omaha Nebraska nchini Marekani. Kulia kwake ni katubu
wa WAMA Bw. Daudi Nasibu
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa kwenye Mji Mkuu wa Jimbo la
Nebraska, Lincoln, huko Marekani na Dr. Natalie Hahn, Mwanzilishi wa
Malaika Foundation na Mshauri Mwandamizi wa United Nations Fund for
International Partnership (UNFIP)
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akwia kwenye Mji Mkuu wa Jimbo la Nebraska,
Lincoln, huko Marekani na Dr. Natalie Hahn, Mwanzilishi wa Malaika
Foundation na Mshauri Mwandamizi wa United Nations Fund for
International Partnership (UNFIP)
.Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Dr. Marjorie Kastelnik, Dean,
College of Education and Human Sciences kwenye Chuo Kikuu cha Nebraska
ambapo Mama Salma alishiriki kwenye Gala to support Global Education
kwenye Chuo Kikuu cha Lincoln huko Nebraska
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Bwana Joe Ricketts kwenye hafla ya Taasisi ya Support Global Education .
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akihutubia waalikwa waliohudhuria hafla ya
Taasisi ya Support Global Education iliyoandaliwa kwa ajili ya kumtunuku
tuzo maalum Bwana Joe Ricketts kwa juhudi zake za kuboresha elimu
duniani hasa katika nchi zinazoendelea.
PICHA NA JOHN LUKUWI
PICHA NA JOHN LUKUWI
0 comments:
Post a Comment