SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 3, 2014

Surprise Birthday Party ya Peter Walden yafana huko Bowie MD


img_5947
Designer wa nguo (PSW) Peter Walden na mkewe Frida Walden wakiwa wenye nyuso za furaha wakati kusheherekea Birthday yake nyumbani kwake huko Bowie Md Jumamosi Novemba mosi,2014.

IMG_5937
Birthday boy akiwa na mama yake.
IMG_5965
Cake ya Birthday iliyowekwa nembo ya nguo za Peter (Perfect Gentleman by PSW).
IMG_5921
Justus na mkewe.
IMG_5968
Bw,Adoko, Sharon na mkewe Jackie Adoko.
IMG_5957
Na Dj Mwajuma kushoto na Mariam wakifanya vitu.
IMG_5927
Stanley na Irene na mtoto wao.
IMG_5904
Bw.Alex na Kwiz a.k.a Lady Gaga.
IMG_5942
Kutoka kushoto Frida Walden,Captain Steve Mhina,Peter Walden,Mama yake Peter.
IMG_5896
Bw.Amani Moshi na mkewe Amina.
Kwa picha zaidi ungana na http://sundayshomari.com/

0 comments:

Post a Comment