SALIM HAMOUD
Siku kama ya leo alizaliwa Mdau wa 24 SEVEN 365 anaitwa Bwana SALIM HAMOUD, akiwa Masomoni katika Mjini wa HYDERABAD Nchini INDIA anasomea Masuala ya BCA.
Blogu hii inaungana na Familia yake, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote katika kukutakia siku njema iliyo na Furaha, Amani na Upendo, na pia Mafanikio katika maisha yako.
Mwenyezi Mungu akujaalie Afya Njema,Maisha Marefu, Busara na Hekima katika siku zote za maisha yako.
HAPPY BIRTHDAY SALIM HAMOUD!!

1 comments:
HAPPY BIRTHDAY MAN ALLAH BLESS YOU>
Post a Comment