BLOG HII INAKUTAKIA KILA LA KHERI, SAFARI NJEMA NA MAISHA MAPYA YENYE BARAKA NA AMANI.
MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE WEPESI KATIKA MAMBO YAKO YA MAISHA MAPYA UNAYOENDA KUYAANZA AKUPE NGUVU BUSARA NA HEKIMA UWEZE KUTUMIA VYEMA KILA AMBACHO UMEJIFUNZA KWA MANUFAA YA JAMII NA TAIFA KWA UJUMLA. TUPO PAMOJA NA KATIKA LILE NA HILI.
ASANTE,
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
0 comments:
Post a Comment