Msafiri Zawose mtoto wa marehemu Hukwe Zawose akiwa kwenye darasa lake la kufundisha ngoma za asili kutoka Tanzania picha ni Msafiri Zawose akiwa Bloombars Dance Studio iliyopo, Washington, DC, NW, yeye hua anasafiri Nchi mbalimbali kufundisha uchezaji wa ngoma za asili kutoka Tanzania hasa kutoka kwenye kabila lake la Wagogo.
Masafiri Zawaose akiwa darasani akifundisha huku akisaidiwa na mke wake Hanah Zawose (kulia) kati ni mmoja ya wanafunzi wake, Winter Allen. (Picha ya pili kulia) Juu na chini ni Msafiri Zawuse akiendelea na darasa lake la kufundisha ngoma za asili jijini Washington, DC, NW
Msafiri Zawose akiwa na mkewe, Hanah Zawose wakipata picha ya pamoja
Msafiri Zawose akiwa na mkewe, Hanah Zawose wakipata picha ya pamoja
Msafiri Zawose (wapili toka kushoto) akiwa na wanafunzi wake kutoka kushoto ni John Chumbers, yeye, Winter Allen na Mke wake Hanah.
(Picha na Vijimambo.Blog)
0 comments:
Post a Comment