| Waziri wa Utalii na Mali asili Mh Ezakiel Mahige |








---
Salaam,
Leo ilikuwa ni siku ya jumuiya ya Afrika mashariki ambayo hufanyika kila mwaka katika maonyesha ya WTM hapa nchini Uingereza. Kwa kawaida sherehe hizi hufanyika katika banda la nchi ambayo ni mwenyekiti wa Afrika Mashariki, kwa hiyo mwaka huu tafrija hii ilifanywa kwenye banda la ndugu zetu wa Kiburundi.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE




0 comments:
Post a Comment