USEMI WANGU HUU....................
"NAONA DUNIA INAZAMA NDANI YA DAMU, UTU HAKUNA TENA MIONGONI MWA WANAADAM,"
ALBINO ALIYEKATWA MKONO WAKE WA KULIA
Msichana Kulwa Lusana ( 16 ) mwenye ulemavu wa ngozi (Albino ) mkazi wa kijiji cha Mbizi, Kata mpya ya Mbega iliyozaliwa kutoka Kata ya Segese wilayani Kahama mkoani Shinyanga, akiwa amelazwa katika wodi ya majeruhi katika hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya
kufanyiwa ukatili na unyama kwa kukatwa mkono wake wa kulia saa saba usiku wa kuamikia Jumamosi, Oktoba 22 mwaka huu akiwa amelala nyumbani kwa wazazi wake na watu wasiojulikana ambao waliondoka na mkono wake.

Picha na Alli Lityawi.
Chanzo Bofya
0 comments:
Post a Comment