SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, November 2, 2011

Sensa Ya Majaribio Sasa Kuingizwa Kwenye Mfumo Wa Kompyuta

Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt. Julitta Onabanjo(kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusu zoezi la uingizaji wa taarifa za sensa katika mfumo wa komputya mara baada ya kumalizika kwa sensa ya majaribio hivi karibuni. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina A. Chuwa (kushoto)
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina A. Chuwa akitoa ufafanuzi jana jijini Dar es salaam kuhusu zoezi linaloendelea la uingizaji wa taarifa za sensa ya majaribio kwenye mfumo kwa komputya mara baada ya kumalizika hivi karibuni katika maeneo mbalimbali nchini. Kulia ni Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt. Julitta Onabanjo
Mtaalamu wa Kampuni ya DRS  Gabriel Kago (katikati) akitoa ufafanuzi jana jijini Dar es salaam kwa waandishi wa habari kuhusu uingizaji wa taarifa zilizopo katika dodoso la sensa la majaribio katika mfumo kwa komputya mara baada ya kumalizika hivi karibuni katika maeneo mbalimbali nchini. Kulia ni Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt. Julitta Onabanjo na kushoto ni Mtaalamu wa Mifumo ya Komputya  (IT) wa NBS Mwanaidi Mahiza
Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DKt. Julitta Onabanjo(kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusu zoezi la uingizaji wa taarifa za sensa katika mfumo wa komputya mara baada ya kumalizika kwa sensa ya majaribio hivi karibuni. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina A. Chuwa (kushoto)
Kamisaa wa Sensa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Paul Kimiti(katikati) akielezea jana jijini Dar es salaam kuhusu jinisi sensa ya majaribio iliyomalizika hivi karibuni itawawezesha kuimarisha maandalizi ya sensa hapo mwakani.
Picha na Vincent Tiganya-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment