Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki wa R&B mwanadada Faith Evans
(1973).mwanadada aliyetesa katika anga za muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 akiwa chini ya label ya Bad Boy alifanya hit single nyingi zilizoshika chati mbalaimbali.
Pia leo siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki wa R&B gentleman Joel "Jo-Jo" Hailey wa kundi la K-Ci & JoJo
(1971).ambalo nalo ni kundi ambalo lilitesa vilivyo katika anga za muziki miaka ya nyuma kidogo na nyimbo kama All my Life na nynginezo nyingi.
Kwa wale wote pia waliozaliwa siku kama hii ya leo pia Nawatakia kila la heri,maisha ya Furaha,Amani na Upendo.Mola awajaalie Afya Njema na Maisha Marefu.
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!!!
0 comments:
Post a Comment