Waziri wa Fedha na Uchumi Mh Mustafa Mkullo akiingia
Bungeni Mjini Dodoma leo kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo akionesha
mkoba wake kwa Wah. Wabunge baada ya kuingia Bungeni Mjini Dodoma leo
tayari kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo akijiandaa
kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulloa akisoma Bajeti
ya Serikali ya 2010/11.
HOTUBA
YA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI, MHE. MUSTAFA HAIDI MKULO (MB.),
AKIWASILISHA KATIKA BUNGE MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA
MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2010/2011, TAREHE 10 JUNI, 201
Kwa habari zaidi na issamichuzi.blogspot.com/
************************
JK aialika na Twiga Stars Ikulu leo
Mwenyekiti wa Chama cha Soka ya Wanawake nchini, Lina
Mhando akisoma historia ya timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) mbele
ya JK leo Ikulu jijini Dar ambako aliwaalika kuwapongeza kwa kufanikiwa
kutinga fainali za Afrika
JK akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake
(Twiga Stars), alipowaita Ikulu, Dar es Salaam jana, kuwapongeza baada
ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika Afrika Kusini
Agosti, Mwaka huu. Rais ameahidi kugharamia malazi, chakula na posho kwa
wachezaji wakati wa kambi ya maandalizi itakayoanza Julai
JK akwia kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Timu ya
Twiga Stars wakati wa kuipongeza Timu hiyo ilipofanya vizuri (wa tatu
kushoto mstari wa kwanza) ni Waziri wa Habari , Utamaduni na Michezo
Mhe. George Mkuchika, na wa ( kwanza kushoto mstari wa juu ) ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na michezo ndugu Seth Kamuhanda,
kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu mjini Dar es Salaam leo.
JK akila pozi na Twiga Stars
Wana Twiga Stara wakitoka Ikulu kwa furaha baada ya
kuonana na JK
Na issamichuzi.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment