Kamati kuu ya uchaguzi ya Misri
tarehe 9 ilitangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa kipindi cha kati wa
baraza la juu la bunge, ilisema chama tawala cha Misri kimepata viti 80
kati ya 88, na vyama vinne vya upinzani na watu wanne wasio wa chama
chochote walipata viti vingine vinane.
Misri ilifanya maduru mawili ya upigaji kura mnamo tarehe 1 na 8 Juni, ambapo wagombea kutoka vyama 13 na wengine 331 wasio wa chama chochote walishiriki kwenye uchaguzi huo, na watu wapatao milioni 8 walishiriki kwenye upigaji kura.

0 comments:
Post a Comment